1 Chronicles 9:17

Jamaa Za Mabawabu

17 aMabawabu katika Hekalu la Bwana waliorudi walikuwa:
Shalumu, Akubu, Talmoni, Ahimani na ndugu zao. Shalumu alikuwa mlinzi wao mkuu.
Copyright information for SwhNEN